Habari za Punde

Kampuni ya BIT Media yaangalia fursa ya matumizi ya Teknolojia katika Skuli za Zanzibar

Ujumbe wa kampuni ya  BIT MEDIA kutoka nchini Austria wakijadiliana jna Watendaji wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar hawapo pichani, juu ya  fursa za Elimu na matumizi ya Teknolojia katika Skuli za Zanzibar, yaliyofanyika katika ukumbi wa Wizara ya Elimu  Mazizini Mjini Unguja.

na Maulid Yussuf WEMA


 Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe Simai Mohammed Said pamoja na watendaji wa ICT wa Wizara yake wamefanya mkutano na ujumbe wa BIT MEDIA kutoka nchini Autria wakijadili juu  ya  fursa za Elimu na matumizi ya Teknolojia katika Skuli za Zanzibar, mkutano uliofanyika  katika ukumbi wa Wizara hiyo Mazizini Mjini Unguja.


Na Maulid Yussuf  WEMA

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.