Habari za Punde

Mchezaji wa Zamani Zanzibar Abdulkadir Tashi Ajitokeza Kuchukuaa Fomu ya Kuwani Urais wa ZFF

Mchezaji wa zamani wa Timu za Soka Shangani na Small Simba  na Mjumbe wa Kamati ya Nidhamu ya Ndg.Abdulkadir Tashi amejitokeza kuchukua Fomu ya kugombea nafasi ya Uongozi Chama Mpira wa Miguu Zanzibar ZFF. kuwania nafasi ya Urais, katika Uchaguzi Mkuu. akiwa na fomu yake baada ya leo katika Ofisi za ZFF Amaan Jijini Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.