Habari za Punde

Timu ya KMKM Zanzibar Yatoa Ubingwa wa Ligi Kuu ya Zanzibar kwa Mwaka 2021/2022.

Mabingwa wapya wa Ligi Kuu Soka ya Zanzibar 2020-2021 timu ya KMKM wamekabidhiwa kombe lao na Medali  jioni ya leo katika Uwanja wa Amaan baada ya kumaliza mchezo wao wa mwisho na kufanikiwa kuwafunga Black Sailors mabao 2-0.

Mkuu wa KMKM Commodore Azana Hassan Msingiri (wa kushoto pichani) alimkabidhi kombe nahodha wa timu hiyo Makame Haji Ngwali (wa kulia) ambapo timu hiyo itaiwakilisha Zanzibar katika Mashindano ya Kombe la Klabu Bingwa Barani Afrika msimu ujao wa mwaka 2021-2022.
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.