Habari za Punde

Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan azungumza kwa njia ya Simu na Rais wa AfDB Dkt. Adesina

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza kwa njia ya Simu masuala mbalimbali ya Kimaendeleo na Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) Dkt. Adesina Akinwumi ambaye alikuwa akizungumza kutokea Makao Makuu ya Benki hiyo Abidjan nchi Ivory Coast leo tarehe 11 Juni, 2021. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.