Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akisalimiana na mgeni wake Rais
wa Jamhuri ya Botswana Dkt. Mokgweetsi Eric Keabetswe Masisi mara baada ya
kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam leo tarehe 10 Juni 2021.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akimkabidhi
Zawadi za Picha Rais wa Jamhuri ya Botswana Dkt. Mokgweetsi Eric Keabetswe
Masisi mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam leo tarehe 10 Juni
2021.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akipokea na kuiangalia zawadi
ya picha aliyopewa na Rais wa Jamhuri ya Botswana Dkt. Mokgweetsi Eric
Keabetswe Masisi mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam leo tarehe
10 Juni 2021.
No comments:
Post a Comment