Habari za Punde

Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan awaapisha Viongozi Mbalimbali aliowateua Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akimuapisha Cpt. Mst. George Huruma Mkuchika kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Ikulu (Kazi Maalum) katika hafla ya Uapisho iliyofanyika Ikulu ya Chamwino Mkoani Dodoma leo 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akimuapisha Balozi Batilda Salha Burian kuwa Katibu Tawala mkoa wa Shinyanga.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akimuapisha Rodrick Lazaro Mpogolo kuwa Katibu Tawala mkoa wa Katavi

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akimuapisha Dorothy Aidan Mwaluko kuwa Katibu Tawala Singida.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akimuapisha Dkt. Athumani Juma Kihamia kuwa Katibu Tawala mkoa wa Arusha.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akimuapisha Mwanaasha Rajabu Tumbo kuwa Katibu Tawala mkoa wa Pwani

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akimuapisha    Ngusa Dismas Samike kuwa Katibu Tawala mkoa wa Mwanza.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akimuapisha   Hassan Abasi Rugwa kuwa Katibu Tawala Mkoa wa Dar es Salaam,

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akimuapisha    Fatuma Ramadhan Mganga kuwa Katibu Tawala mkoa wa Dodoma

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akimuapisha   Musa Ramadhani Chogero kuwa Katibu Tawala mkoa wa Geita

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akimuapisha     Pili Hassan Mnyema kuwa Katibu Tawala mkoa wa Tanga

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akimuapisha    Prisca Joseph Kayombo kuwa Katibu Tawala mkoa wa Simiyu.

. Viongozi mbalimbali walioapishwa pamoja na kuteuliwa katika nafasi mbalimbali wakila Kiapo cha Uadilifu kwa Viongozi wa Umma mara baada ya tukio la Uapisho katika Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma.

 

 

 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.