Habari za Punde

Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan awasili Jijini Dodoma

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Anthony Mtaka mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Dodoma leo tarehe 1 June, 2021
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akisalimiana na viongozi mbalimbali mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Dodoma leo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akisalimiana na viongozi mbalimbali mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Dodoma leo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akisaini Kitabu cha Wageni mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Dodoma leo tarehe 1 June, 2021

                                                                       PICHA NA IKULU.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.