Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi Amezindua na Kushiriki Mbio za Kimataifa za Zanzibar International Marathon Zilizofanyika leo Jijini Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akipiga bastola juu kuashirikia kuaza kwa Uzinduzi wa Mbio za Kimataifa za Zanzibar International Marathon za Kilomita  5 zilizoanzia katika eneo la Ngome Kongwe Forodhani Jijini Zanzibar na kumalizikia katika Uwanja wa Amaan.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Ak.Hussein Ali Mwinyi akishiriki Mbio za Kimataifa za Zanzibar International Marathon za kilomita 5 zilizoazia katika eneo la Ngome Kongwe Jijini Zanzibar na kumalizia katika Uwanja wa Amaan na (kulia kwa Rais) Kaimu Afisa Mkuu Ukaguzi wa Ndani Benki ya NMB Ndg.Benedictor Baragomwa , Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe.Othman Msaoud Othman na (kushoto kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi, wakishiriki katika mbio hizo za Kilomita 5.

BALOZI Mdogo wa Jamhuri ya Watu wa China anayefanyia kazi zake Zanzibar Mhe. Zhang Zhisheng akishiriki mbio za Zanzibar International Marathon za Kilimomita  5 (kulia kwake) na Mdau wa Michezo Zanzibar Raza Lee na (kushoto kwake) Salama Jabir Balozi wa Zanzibar International Marathon wakishiriki mbio hizo zilizoazia katika viwanja vya Ngome Kongwe Jijini Zanzibar na kumalizia katika Uwanja wa Amaan Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Ak.Hussein Ali Mwinyi akishiriki Mbio za Kimataifa za Zanzibar International Marathon za kilomita 5 zilizoazia katika eneo la Ngome Kongwe Jijini Zanzibar na kumalizia katika Uwanja wa Amaan na (kulia kwa Rais) Kaimu Afisa Mkuu Ukaguzi wa Ndani Benki ya NMB Ndg.Benedictor Baragomwa ,  na (kushoto kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi, wakishiriki katika mbio hizo za Kilomita 5.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Ak.Hussein Ali Mwinyi akishiriki Mbio za Kimataifa za Zanzibar International Marathon za kilomita 5 zilizoazia katika eneo la Ngome Kongwe Jijini Zanzibar na kumalizia katika Uwanja wa Amaan na (kulia kwa Rais) Kaimu Afisa Mkuu Ukaguzi wa Ndani Benki ya NMB Ndg.Benedictor Baragomwa , Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe.Othman Msaoud Othman na (kushoto kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi, wakishiriki katika mbio hizo za Kilomita 5.
Washiriki wa Mbio za Kimataifa za Zanzibar International Marathon Kilomita 5 wakimalizika mbio hizo katika Uwanja wa Amaan Jijini Zanzibar.

Watoto wa Chini ya Umri wa miaka 8 na 4 wakishiriki Mbio za Kimataifa za Zanzibar International Marathon katika Uwanja wa Amaan Jijini Zanzibar. 
Washiriki wa Mbio za Kimataifa za Zanzibar International Marathon Kilomita 5 wakimalizika mbio hizo katika Uwanja wa Amaan Jijini Zanzibar.
Washiriki wa Mbio za Kimataifa za Zanzibar International Marathon Kilomita 5 wakimalizika mbio hizo katika Uwanja wa Amaan Jijini Zanzibar.
Washiriki wa Mbio za Kimataifa za Zanzibar International Marathon Kilomita 5 wakimalizika mbio hizo katika Uwanja wa Amaan Jijini Zanzibar.
Wakimbiaji wa Mbio za Kilomita 10 za Kimataifa za Zanzibar International Marathon wakiaza mbio hizo katika uwanja wa Amaan Jijini Zanzibar.

Kaimu Afisa Mkuu Ukaguzi wa Ndani Benki ya NMB Tanzania Ndg.Benedictor Baragomwa akishingilia wakati wa kuaza kwa mbio za Kimataifa za Zanzibar Inetrnational Marathon Kilomita 10 zilizoazia katika Uwanja wa Amaan na kumalizia katika uwanja huo.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimvisha Nishani mshindi wa Kwanza wa Mashindano ya Riadha ya Kimataifa ya Zanzibar International Marathon kwa upande wa Wanawake Pamela Chepkoech kutoka Nchini Kenya, kwa kuibuka mshindi wa kwanza wa Kilomita 21, hafla hiyo imefanyika katika Uwanja wa Amaan Jijini Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimvisha Nishani mshindi wa Kwanza wa Mashindano ya Riadha ya Kimataifa ya Zanzibar International Marathon kwa upande wa Wanaume Panuel Mkungo kutoka Nchini Kenya, kwa kuibuka mshindi wa kwanza wa Kilomita 21, hafla hiyo imefanyika katika Uwanja wa Amaan Jijini Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na washindi wa Mbio za Zanzibar International Marathon Kilomita 21 waliopiga magoti na (kulia kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi,Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Idrisa Mustafa Kitwana na (kushoto kwa Rais) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said na Mwenyekiti wa Zanzibar International Marathon Ndg. Hassan. Zanga
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na wafadhili wa Mbio za Kimataifa za Zanzibar International Marathon, baada ya kumalizika kwa hafla hiyo iliofanyika katika Uwanja wa Amaan Jijini Zanzibar 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.