Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
Philip Isdor Mpango akiwasili kijijini Lupaso Wilaya ya Masasi kushiriki misa ya kumbukizi ya mwaka mmoja wa kifo
cha Hayati Benjamin William Mkapa
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango akiwasili kijijini Lupaso Wilaya ya Masasi kushiriki misa ya kumbukizi ya mwaka mmoja wa kifo cha Hayati Benjamin William Mkapa.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango pamoja na Mkewe mama Mbonimpawe Mpango wakiweka shada la maua katika kaburi la Hayati Benjamin William Mkapa, kijijini Lupaso wilayani Masasi leo.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango pamoja na Mkewe mama Mbonimpawe Mpango wakiweka shada la maua katika kaburi la Hayati Benjamin William Mkapa, kijijini Lupaso wilayani Masasi leo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango akiwasili kijijini Lupaso Wilaya ya Masasi kushiriki misa ya kumbukizi ya mwaka mmoja wa kifo cha Hayati Benjamin William MkapaMakamu wa Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango akizungumza na waumini waliohudhuria misa ya kumbukizi ya mwaka mmoja wa kifo
cha Hayati Benjamin William Mkapa iliofanyika katika Kijiji cha
Lupaso Wilaya ya Masasi
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip
Isdor Mpango akipanda mti nyumbani kwa Hayati Benjamin William
Mkapa mara baada ya kukamilika kwa misa ya kumbukizi ya mwaka mmoja wa kifo cha Hayati
Benjamin William Mkapa hafla hiyo imefanyika Kijijini kwao lupaso Wilayani Masaki. Julai 24,2021.
PICHA – OFISI YA MAKAMU WA RAIS.
No comments:
Post a Comment