Habari za Punde

Rais Dk Hussein Mwinyi afanya uzinduzi wa kitabu cha Asian Aspiration Book Ukumbi wa Hoteli ya Verde

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akifuatana na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Mhe.Idrissa Kitwana Mustafa wakati alipowasili katika Hoteli ya Verde Mtoni Mjini Magharibi leo kuzindua kitabu cha  "Asian Aspiration Book" cha Rais Mstaafu wa Nigeria Mhe.Olusegun Obasanjo na Waziri Mkuu Mstaafu wa Ethiopia Mhe.Hailemarium  Desalegn.[Picha na Ikulu] 29/07/2021.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) Rais Mstaafu wa Nigeria Mhe.Olusegun Obasanjo (kushoto) na Waziri Mkuu Mstaafu wa Ethiopia Mhe.Hailemarium  Desalegn wakisimama wakati wimbo wa Taifa ukipigwa  kabla ya Uzinduzi wa  kitabu cha  "Asian Aspiration Book" uliofanyika leo katika Ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Mkoa wa Mjini Magharibi.[Picha na Ikulu] 29/07/2021.
Baadhi  ya Washiriki na Waalikwa katika Ufunguzi wa kitabu cha  "Asian Aspiration Book" cha Rais Mstaafu wa Nigeria Mhe.Olusegun Obasanjo na Waziri Mkuu Mstaafu wa Ethiopia Mhe.Hailemarium  Desalegn kilichozinduliwa` leo na RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) katika Ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Mkoa wa Mjini Magharibi.[Picha na Ikulu] 29/07/2021.

Rais Mstaafu wa Nigeria Mhe.Olusegun Obasanjo alipokuwa akitoa Hutuba yake katika Ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Mkoa wa Mjini Magharibi wakati wa uzinduzi wa kitabu cha  "Asian Aspiration Book" cha Rais Mstaafu wa Nigeria Mhe.Olusegun Obasanjo na Waziri Mkuu Mstaafu wa Ethiopia Mhe.Hailemarium  Desalegn uliofanyika leo katika Ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Mkoa wa Mjini Magharibi.[Picha na Ikulu] 29/07/2021. 

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akionesha  kitabu cha  "Asian Aspiration Book" cha Rais Mstaafu wa Nigeria Mhe.Olusegun Obasanjo na Waziri Mkuu Mstaafu wa Ethiopia Mhe.Hailemarium  Desalegn mara baada ya kukizindua leo  katika Ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Mkoa wa Mjini Magharibi.[Picha na Ikulu] 29/07/2021.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akionesha  kitabu cha  "Asian Aspiration Book" cha Rais Mstaafu wa Nigeria Mhe.Olusegun Obasanjo (kushoto) na Waziri Mkuu Mstaafu wa Ethiopia Mhe.Hailemarium  Desalegn (hayupo pichani) mara baada ya kukizindua leo  katika Ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Mkoa wa Mjini Magharibi. [Picha na Ikulu] 29/07/2021.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akionesha  kitabu cha  "Asian Aspiration Book" cha Rais Mstaafu wa Nigeria Mhe.Olusegun Obasanjo (kushoto) na Waziri Mkuu Mstaafu wa Ethiopia Mhe.Hailemarium  Desalegn (kulia) mara baada ya kukizindua leo  katika Ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Mkoa wa Mjini Magharibi.[Picha na Ikulu] 29/07/2021.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto)  alipokuwa akitoa Hutuba yake katika Ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Mkoa wa Mjini Magharibi wakati wa uzinduzi wa kitabu cha  "Asian Aspiration Book" cha Rais Mstaafu wa Nigeria Mhe.Olusegun Obasanjo (kulia) na Waziri Mkuu Mstaafu wa Ethiopia Mhe.Hailemarium  Desalegn (hayupo pichani) uliofanyika leo katika Ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Mkoa wa Mjini Magharibi (katikati) Katibu wa Baraza la Mapinduzi pia Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said.[Picha na Ikulu] 29/07/2021.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi    alipokuwa akitoa Hutuba yake katika Ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Mkoa wa Mjini Magharibi wakati wa uzinduzi wa kitabu cha  "Asian Aspiration Book" cha Rais Mstaafu wa Nigeria Mhe.Olusegun Obasanjo  na Waziri Mkuu Mstaafu wa Ethiopia Mhe.Hailemarium  Desalegn, uliofanyika leo katika Ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Mkoa wa Mjini Magharibi.[Picha na Ikulu] 29/07/2021.

Baadhi  ya Washiriki na Waalikwa katika hafla ya Ufunguzi wa kitabu cha  "Asian Aspiration Book" cha Rais Mstaafu wa Nigeria Mhe.Olusegun Obasanjo na Waziri Mkuu Mstaafu wa Ethiopia Mhe.Hailemarium  Desalegn kilichozinduliwa` leo na RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) katika Ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Mkoa wa Mjini Magharibi.[Picha na Ikulu] 29/07/2021.

Baadhi  ya Washiriki na Waalikwa katika hafla ya Ufunguzi wa kitabu cha  "Asian Aspiration Book" cha Rais Mstaafu wa Nigeria Mhe.Olusegun Obasanjo na Waziri Mkuu Mstaafu wa Ethiopia Mhe.Hailemarium  Desalegn kilichozinduliwa` leo na RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) katika Ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Mkoa wa Mjini Magharibi.[Picha na Ikulu] 29/07/2021.


 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia)  alipokuwa akiagana na Rais Mstaafu wa Nigeria Mhe.Olusegun Obasanjo mara baada ya kumalizika kwa hafla ya uzinduzi wa kitabu cha  "Asian Aspiration Book" cha Rais Mstaafu wa Nigeria Mhe.Olusegun Obasanjo (kushoto) na Waziri Mkuu Mstaafu wa Ethiopia Mhe.Hailemarium  Desalegn(hayupo pichani) uliofanyika leo katika Ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Mkoa wa Mjini Magharibi.[Picha na Ikulu] 29/07/2021.


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.