Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi Afungua Kongamano la Harakati za Kutokomeza Vitendo vya Udhalilishaji Lililoandaliwa na Jumuiya ya Wanasheria Wanawake Zanzibar (ZAFELA)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi wa Serikali alipowasili katika viwanja vya Ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar,kuhudhuria ufunguzi wa Kongamano la Harakati za Kutokomeza Vitendo vya Udhalilishaji Zanzibar Tulipotoka,Tulipo na Tunapokwenda,lililoandaliwa na Jumuiya ya Wanasheria Wanawake Zanzibar (ZAFELA)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiuliza na kusisitiza jambo wakati akitembelea maonesho ya bidhaa mbalimbali za Wajasiriamali wakati wa hafla ya ufunguzi wa Kongamano la Harakati za Kutokomeza Vitendo vya Udhalilishaji Zanzibar, lililoandaliwa na Jumuiya ya Wanasheria Wanawake Zanzibar (ZAFELA) lililofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, akimsikiliza Kiongozi wa Kikundi cha Yataka Moyo cha Kajengwa Makunduchi Bi. Sinajambo Mkonde akitowa maelezo ya bidhaa zinazozalishwa na kikundi hicho wakati alipotembelea mabanda ya maonesho ya Wajasiriamali Wanawake Waliowezeshwa na (ZAFELA) wakati wa hafla ya ufunguzi wa Kongamano la Harakati za Kutokomeza Vitendo vya Udhalilishaji Zanzibar, lililofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar na (kulia kwa Rais) Mwenyekiti wa Jumuiya wa Wanasheria Wanawake Zanzibar (ZAFELA) Bi. Safia Hija Abass

Bi.Lulu Ng’wanakilala CEO  wa  “Legal Services Facility” akizungumza na kuwasil;isha salamu za Taasisi yake wakati wa ufunguzi wa Kongamano la Harakati za Kutokomeza Vitendo vya Udhalilishaji Zanzibar, lililofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kulifungua Kongamanbo la Harakati la Kutokomeza Vitendo vya Udhalilishaji Zanzibar,Tulipotoka,Tulipo na Tunakokwenda, lililofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdul Wakil Kikwajuni Jijini Zanzibar, lililoandaliwa na Jumuiya na Wanasheria Wanawake Zanzibar.(ZAFELA)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kulifungua Kongamanbo la Harakati la Kutokomeza Vitendo vya Udhalilishaji Zanzibar,Tulipotoka,Tulipo na Tunakokwenda, lililofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdul Wakil Kikwajuni Jijini Zanzibar, lililoandaliwa na Jumuiya na Wanasheria Wanawake Zanzibar.(ZAFELA)
BAADHI ya Wageni waalikwa kutoka Taasisi mbalimbali za Kijamii wakifuatiulia hutuba ya ufunguzi wa Kongamano la Harakati za Kutokomeza Vitendo vya Udhalilishaji Zanzibar, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi(hayupo pichani)  akihutubia na kulifungua Kongamano hilo lililofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar
BAADHI ya Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wakifuatilia hutuba ya ufunguzi wa Kongamano la Harakati za Kotokomeza Vitendo vya Udhalilishaji Zanzibar, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani)  akihutubia na kulifungua katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar
BAADHI ya Wananchi wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia na kulifungua Kongamano la Harakati za Kutokomeza Vitendo vya Udhalilishaji Zanzibar lililofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizindua Mfumo wa upokeaji wa taarifa sahihi za Udhalilishaji,wakati wa ufunguzi wa Kongamano la Harakati za Kotokomeza Vitendo vya Udhalilishaji Zanzibar, lililoandaliwa na Jumuiya ya Wanasheria Wanawake Zanzibar.(ZAFELA) lililofanyika katika ukumbi wa Sheikh nIdrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.