Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe Simai Mohammed Said akizungumza na Balozi Mdogo wa China nchini Tanzania bwana Zhang Zhisheng ofisini kwake Mazizini Mjini Unguja, wakati alipofika kwa ajili ya kukabidhi msaada wa mikoba ya Skuli kwa ajili ya kuwapatia Wanafunzi.
Na Maulid Yussuf WEMA.
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe Simai Mohammed Said akipokea msaada wa mikoba ya Skuli kutoka kwa Balozi Mdogo wa China nchini Tanzania bwana Zhang Zhisheng wakati akipofika ofisini kwake Mazizini Mjini Unguja, kwa lengo la kukabidhi mikoba hiyo kwa ajili ya kuwapatia Wanafunzi.
Na Maulid Yussuf WEMA
No comments:
Post a Comment