Habari za Punde

ZSSF Yazindua Utumiaji wa Risiti za Kieletroniki Katika Uwanja wa Watoto Kariakoo Jijini Zanzibar.

Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar Ndg. Aboud Hassan Mwinyi akikata utepe kuashiria kuzindua utumiaji wa Risiti za Kieletroniki katika  huduma za kuingia na kupanda mapembea kwa kutumia risiti za Kieletroniki katika Uwanja wa Watoto Kariakoo Jijini Zanzibar , hafla hiyo imefanyika katika Kiwanja cha kufurahishia Watoto Kariakoo Jijini Zanzibar, na (kushoto kwake) Mkurugenzi Mtendaji wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar Ndg.Nassor Shaban Ameir .

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.