Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii na Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mwanza, Mhe. Mary Masanja akikabidhi pikipiki na kompyuta kwa Jumuiya ya UWT Wilaya ya Magu katika ziara yake iliofanyika Ofisi ya CCM Wilaya ya Magu.
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii na Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mwanza, Mhe. Mary Masanja akikabidhi msaada wa vyakula na mahitaji mbalimbali kwa Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Itumbili, Rhobiry Chacha(kushoto) ikiwa ni msaada kwa ajili ya Wanafunzi wenye mahitaji maalum alipotembelea shule hiyo jana iliyo katika Halmashauri ya Wilaya ya Magu .
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii na Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mwanza, Mhe. Mary Masanja akiwa katika picha ya pamoja na Wanafunzi wa Shule ya Msingi Itumbili wenye mahitaji maalum alipotembelea shule hiyo na kukabidhi mahitaji mbalimbali jana katika Halmashauri ya Wilaya ya Magu .

Picha na Happy Shayo.
No comments:
Post a Comment