Habari za Punde

Matukio ya Picha Maziwang'ombe Wilaya ya Micheweni Pemba.

Wilaya ya Micheweni Pemba Kepteni Mohammed Mussa Seif, akizungumza na Wananchi wa Kijiji cha Maziwang'ombe akiwa katika ziara yake kufuatilia kero za Wananchi wa Kijiji hicho , na kutowa majibu na kuzipatia ufumbuzi wa kero zao. Akisisitiza jambo wakati wa kutowa maelezo ya majib ya kero zao.

Wilaya ya Micheweni Kepteni Mohammed Mussa Seif, akiwasilikia Wananchi wa Kijiji cha Maziwang'ombe Wilaya ya micheweni Pemba wakiwailisha kero zao, wakati wakizungumza na Mkuu wa Wilaya alipofika kuwatembelea na kupata changamoto zao.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.