Habari za Punde

Mkutano wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Mwinyi na Viongozi wa Madhehebu ya Dini ya Kikristo Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti a Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi wa Dini ya Kikristo  alipowasili katika viwanja vya Ukumbi wa Amani Utengamano Welezo Mjini  Zanzibar kwa ajili ya Mkutano wa Viongozi hao uliofanyika leo.[Picha na Ikulu] 29/09/2021.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti a Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akiteta na baadhi  ya Viongozi wa Dini ya Kikristo   kabla  ya Mkutano wa Viongozi hao uliofanyika leo   katika Ofisi ya Ukumbi wa Amani Utengamano Welezo Mjini  Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti a Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akizungumza na Viongozi  wa Madhehebu ya Dini ya Kikristo katika mkutano uliofanyika leo katika Ukumbi wa Amani Utengamano Welezo Mjini  Zanzibar.
Baadhi ya Masister na Viongozi wengine wa Madhehebu ya Dini ya Kikristo ni miongoni mwa washiriki wa mkutano wa Viongozi hao uliofanyika leo katika Ukumbi wa Amani Utengamano Welezo Mjini  Zanzibar mgeni rasmi alikuwa rais wa Zanzibar na mwenyekiti wa Baraza la mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi.
Baadhi ya  Viongozi  wa Madhehebu ya Dini ya Kikristo wakimsikiliza  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi.alipokuwa akizungumza na Viongozi hao katika mkutano uliofanyika leo katika Ukumbi wa Amani Utengamano Welezo Mjini  Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti a Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akizungumza na Viongozi  wa Madhehebu ya Dini ya Kikristo katika mkutano uliofanyika leo katika Ukumbi wa Amani Utengamano Welezo Mjini  Zanzibar
Baadhi ya  Viongozi  wa Madhehebu ya Dini ya Kikristo wakifurahia hotuba iliyotolewa na   Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi.alipokuwa akizungumza na Viongozi hao katika mkutano uliofanyika leo katika Ukumbi wa Amani Utengamano Welezo Mjini  Zanzibar.
[Picha na Ikulu] 29/09/2021.
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.