Habari za Punde

Mwakilishi viti maalum akabidhi msaada wa fedha kwa Jumuiya ya wanawake wenye ulemavu Zanzibar [JUWAUZA]


 Mwakilishi wa Viti Maalum kupitia nafasi za watu wenye ulemavu mhe Mwantatu Mbarak Khamis akimkabidhi fedha taslim shilingi milioni mbili katibu wa Jumuiya ya wanawake wenye ulemavu Zanzibar [JUWAUZA] Mwandawa Khamis Mohammed kwa ajili ya utekelezaji wa shughuli za jumuiya hiyo

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.