Habari za Punde

Rais Dk Hussein Mwinyi awaapisha viongozi aliowaapisha hivi karibuni

BAADHI ya Wanafamilia wakifuatilia hafla ya kuapishwa kwa Viongozi walioteuliwa hivi karibuni na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.(Picha na Ikulu)
MAKAMU wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla na Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe. Omar Othman Makungu wakihudhuria hafla ya kuapishwa kwa Vionfgozi walioteuliwa hivi karibuni na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.(Picha na Ikulu)
MAKAMU wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe.Othman Masoud Othman akihudhuria hafla ya kuapishwa kwa Viongozi walioteuliwa hivi karibuni na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani ) (na kulia) Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe.Zuberi Ali Maulid wakifuatilia hafla hiyo iliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.(Picha na Ikulu)
VIONGOZI walioteuliwa hivi karibuni na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, wakiwa katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar wakisubiri kuapishwa.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Dkt.Juma Yakuti Juma kuwa Naibu Katibu wa Baraza la Mapinduzi, hafla hiyo ya kuapishwa imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar leo 16-9-2021.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Ndg.Suleiman Ali Suleiman kuwa Naibu Katibu Msaidizi wa Baraza la Mapinduzi (Sera,Ufuatiliaji na Tathimini) hafla hiyo ya kuapishwa imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar leo 16-9-2021.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha.Dkt.Othman Abbas Ali kuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, hafla hiyo ya kuapishwa imefanyika leo 16-9-2021 katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Bi.Mgeni Khatib Yahya kuwa Mkuu wa Wilaya ya Micheweni Pemba, hafla hiyo ya kuapishwa imefanyika leo 16-9-2021 katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.(Picha na Ikulu
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Ndg. Khatib Juma Mjaja kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mkoani Pemba, hafla hiyo ya kuapishwa imefanyika leo 16-9-2021 katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Dkt.Hamad Omar Bakari kuwa Mkuu wa Wilaya ya Wete Pemba, hafla hiyo ya kuapishwa imefanyika leo 16-9-2021 katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Ndg.Hamid Seif Said kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kaskazini “B” Unguja, hafla hiyo ya kuapishwa imefanyika leo 16-9-2021 katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Ndg. Kubingwa Mashaka Simba kuwa Katibu wa Kamisheni ya Utumishi wa Umma, hafla hiyo ya kuapishwa imefanyika leo 16-9-2021 katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.(Picha na Ikulu)
WAKUU wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama Zanzibar wakifuatilia  hafla ya kuapishwa kwa Viongozi walioteuliwa hivi karibuni na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, hafla hiyo imefanyika leo 16-9-2021 katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja baada ya kuwaapisha Viongozi aliowateua hivi karibuni wakiwa wamesimama nyuma na (kulia kwa Rais) Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Othman Masoud Othman na Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe.Zuberi Ali Maulid na (kushoto kwa Rais) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla na Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe. Omar Othman Makungu na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said.(Picha na Ikulu) 
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.