Habari za Punde

Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan akabidhi zawadi za Krismasi Kituo cha Kulea Watoto wanaoishi katika Mazingira Hatarishi cha Msimbazi Centre Jijini Dar es Salaam

Msaidizi wa Rais (Mnikulu) Bw. Said Ali Juma akikabidhi Mbuzi, Mafuta ya kupikia pamoja na Mchele kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, kwenye Kituo cha Nyumba ya Amani na Furaha (Missionaries of Charity Mother Teresa Children’s Home) kilichopo Mburahati Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kusherehekea Sikukuu ya Krismasi na Mwaka Mpya leo tarehe 23 Desemba, 2021.

Msaidizi wa Rais (Mnikulu) Bw. Said Ali Juma akikabidhi Maziwa, sabuni pamoja na pampers za watoto kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, kwa Mlezi wa Kituo cha Kulea Watoto wanaoishi katika Mazingira Hatarishi Sister Stella Selugenge leo tarehe 23 Desemba, 2021. PICHA NA IKULU

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.