Habari za Punde

Kutoka BLW - Kuwasilishwa kwa Mswada wa kuanzisha Mamlaka ya kupambana na Dawa za Kulevya

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamo wa Kwanza wa Rais mhe Dkt Sada Mkuya Salum akiwasilisha Mswada wa Sheria ya kuanzisha Mamlaka ya kupambana na Dawa za Kulevya, kazi, Majukumu yake  na mambo mengine yanayohusiana na hayo katika Mkutano wa Tano wa Baraza la kumi la Wawakilishi .
Mwenyekiti wa Kamati ya kusimamia Ofisi za Viongozi wakuu wa Kitaifa mhe Hassan Khamis Hafidh akisoma hotuba ya kamati kuhusu Mswada wa Sheria ya kuanzisha Mamlaka ya kupambana na Dawa za Kulevya, kazi, Majukumu yake  na mambo mengine yanayohusiana na hayo katika Mkutano wa Tano wa Baraza la kumi la Wawakilishi 
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.