Habari za Punde

WAZIRI MKUU AHUTUBIA KATIKA MAADHIMISHO YA MIAKA 75 YA UNICEF

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza katika Maadhimisho ya Mika 75 ya Shirika la Kuwahudumia Watoto la Umoja wa mataifa (UNICEF) kwenye ukumbi wa Kituo cha Mikutano cha Jakaya Kikwete jijini Dodoma, Desemba 4, 2021.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza katika Maadhimisho ya Mika 75 ya Shirika la Kuwahudumia Watoto la Umoja wa mataifa (UNICEF) kwenye ukumbi wa Kituo cha Mikutano cha Jakaya Kikwete jijini Dodoma
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akionyesha picha ya Rais Samia Suluhu Hassan iliyochorwa  na mtoto Rashidi Mahabad katika Maadhimisho ya Miaka 75 ya Shirika la Kuwahudumia Watoto la Umopja wa Mataifa (UNICEF) kwenye ukumbi wa Kituo cha Mikutano cha Jakaya Kikwete jijini Dodoma

Mtoto mwenye kipaji cha kuimba Abby Chams akiimba katika Maadhimisho ya Miaka 75 ya Shirika la Kuwahudumia Watoto la Umoja wa Mataifa (UNICEF) kwenye ukumbi wa Kituo cha Mikutano cha Jakaya Kikwete jijini Dodoma
Watoto wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipozungumza katika Maadhimisho ya Miaka 75 ya Shirika la Kuwahudumia Watoto la Umoja wa Mataifa (UNICEF) kwenye ukumbi wa Kituo cha Mikutano cha Jakaya Kikwete jijini Dodoma, Desemba 4, 2021.
 (Picha na ofisi ya Waziri Mkuu)
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.