Habari za Punde

Kamati ya Biashara Kilimo na Utalii ya Baraza la Wawakilishi ziarani Pemba

Mwenyekiti wa Kamati ya Biashara Kilimo na Utalii ya Baraza la Wawakilishi   Mhe Yussuf Hassan Iddi akikagua trekta la kilimo wakati Kamati hiyo ilipofanya ziara katika Wakala wa Serikali wa Huduma za Matrekta na Zana za Kilimo Kisiwani Pemba.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.