Habari za Punde

Rais Dk Hussein Mwinyi ashiriki maziko ya Marehemu Said Bakari Jecha aliyewahi kuwa Waziri wa SMZ

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiitikia dua ikisomwa na Sheikh. Mahadhi Mahadhi Abdalla, baada ya kumalizika kwa Sala ya kuusalia mwili wa Marehemu Said Bakari Jecha aliyewahi kuwa Waziri wa SMZ, maziko hayo yaliyofanyika Kijijini kwao Fumba na (kulia kwa Rais) Sheikh.Khamis Mussa na Mume wa Rais wa Tanzania Mhe Khafidh Ameir.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiweka mchanga katika kaburi la Marehemu Said Bakari Jecha aliyewahi kuwa Waziri wa SMZ, maziko hayo yamefanyika Kijijini kwao Fumba Wilaya ya Magharibi “B” Unguja.(Picha Ikulu)
RAIS Mstaaf wa Zanzibar Alhaj Dkt.Amani Karume akiweka mchanga katika kaburi la Marehemu Said Bakari Jecha aliyewahi kuwa Waziri wa SMZ, maziko hayo yamefanyika Kijijini kwao Fumba Wilaya ya Magharibi “B” Unguja.(Picha Ikulu)
SHEIKH Said Ali Talib akisoma dua baada ya kumalizika kwa maziko ya Marehemu Said Bakari Jecha yaliyofanyika Kijijini kwao Fumba Wilaya ya Magharibi “B” Unguja.(Picha na Ikulu)
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.