Habari za Punde

UFUNGUZI WA JENGO LA MADARASA MATATU YA SKULI YA KIOMBA MVUA MKOA WA KASKAZINI WAFANYIKA ZANZIBAR.

Waziri wa Afya Ustawi wa Jamii Wazee Jinsia na Watoto Nassor Ahmed Mazrui katikati akikata Utepe kuashiria Ufunguzi wa  Jengo la Madarasa Matatu ya Skuli ya  Kiomba Mvua Mkoa wa Kaskazini Unguja.Ikiwa ni Shamra Shamra za Miaka 58 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Waziri wa Afya Ustawi wa Jamii Wazee Jinsia na Watoto Nassor Ahmed Mazrui kulia akikunjuwa Kitambaa kuashiria Ufunguzi wa  Jengo la Madarasa Matatu ya Skuli ya Kiomba Mvua Kiomba Mvua Mkoa wa Kaskazini Unguja.Ikiwa ni Shamra Shamra za Miaka 58 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Waziri wa Afya Ustawi wa Jamii Wazee Jinsia na Watoto Nassor Ahmed Mazrui wapili kushoto akipata maelezo kutoka kwa Katibu Mkuu Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Ali Khamis Juma katika hafla ya Ufunguzi wa  Jengo la Madarasa Matatu ya Skuli ya Kiomba Mvua Mkoa wa Kaskazini Unguja.Ikiwa ni Shamra Shamra za Miaka 58 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Waziri wa Afya Ustawi wa Jamii Wazee Jinsia na Watoto Nassor Ahmed Mazrui akitoa hotuba ya Ufunguzi wa  Jengo la Madarasa Matatu ya Skuli ya Kiomba Mvua Mkoa wa Kaskazini Unguja.Ikiwa ni Shamra Shamra za Miaka 58 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Jengo la Madarasa Matatu lililofunguliwa na Waziri wa Afya Ustawi wa Jamii Wazee Jinsia na Watoto Nassor Ahmed Mazrui Kiomba Mvua Mkoa wa Kaskazini Unguja.Ikiwa ni Shamra Shamra za Miaka 58 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.