Habari za Punde

Hafla ya uwekaji wa Jiwe la Msingi Kituo cha Afya, Wodi ya Wazazi na Nyumba ya Daktari, Kendwa Mkoani Pemba

WAZIRI Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa Majaliwa, akikunjua kitambaa kuashiria uwekaji wa Jiwe la Msingi Kituo cha Afya, Wodi ya Wazazi na Nyumba ya Daktari, huko Kendwa Wilaya ya Mkoani ikiwa ni shamrashamra za Maashimisho ya Miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)

MKURUGENZI Mtendaji wa Tasaf Tanzania Ledslaus Mwamanga, akitoa salamu kutoka Tasaf Makaomakuu katika hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi kituo cha afya, Wodi ya Wazazi na Nyumba ya Daktari, huko Kendwa Wilaya ya Mkoani ikiwa ni shamrashamra za Maashimisho ya Miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
KATIBU Mkuu Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Sera Uratibu na baraza la Wawakilishi Zanziba Thabit Idarus Faina, akitoa maelezo ya utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa kituo cha afya, Wodi ya Wazazi na Nyumba ya Daktari, huko Kendwa Wilaya ya Mkoani ikiwa ni shamrashamra za Maashimisho ya Miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)


MKUU wa Mkoa wa Kusini Pemba Mattar Zahora Massoud, akitoa salamu za wananchi wa Mkoa huo katika hafla ya uwekaji wa jiwe la Msingi kituo cha afya, Wodi ya Wazazi na Nyumba ya Daktari, huko Kendwa Wilaya ya Mkoani ikiwa ni shamrashamra za Maashimisho ya Miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)

WANANCHI wa Shehia ya Kendwa Wilaya ya Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba, wakifuatilia hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi kituo cha afya, Wodi ya Wazazi na Nyumba ya Daktari, huko Kendwa Wilaya ya Mkoani ikiwa ni shamrashamra za Maashimisho ya Miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)


WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Sera Uratib na Baraza la Wawakilishi Zanzibar Dkt.Khalid Salum Mohamed, akizungumza katika hafla ya uwekaji wa jiwe la Msingi kituo cha afya, Wodi ya Wazazi na Nyumba ya Daktari, huko Kendwa Wilaya ya Mkoani ikiwa ni shamrashamra za Maashimisho ya Miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
VIONGOZI mbali mbali wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, wakifuatilia hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi kituo cha afya, Wodi ya Wazazi na Nyumba ya Daktari, huko Kendwa Wilaya ya Mkoani ikiwa ni shamrashamra za Maashimisho ya Miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
MBUNGE wa Jimbo la Kiwani Rashid Abdalla Rashid, akizungumza katika hafla ya uwekaji wa jiwe la Msingi kituo cha afya, Wodi ya Wazazi na Nyumba ya Daktari, huko Kendwa Wilaya ya Mkoani ikiwa ni shamrashamra za Maashimisho ya Miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
WAZIRI wa Afya, Ustawi wa Jamii, Wazee, Jinsia na Watoto Zanzibar Nassor Ahmed Mazroui, akizungumzia mikakati ya serikali wakati wa halfa ya uwekaji wa jiwe la msingi, kituo cha afya, Wodi ya Wazazi na Nyumba ya Daktari, huko Kendwa Wilaya ya Mkoani ikiwa ni shamrashamra za Maashimisho ya Miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)

WAZIRI Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa Majaliwa, akizungumza na wananchi wa Shehia ya Kendwa Wilaya ya Mkoani, mara baada ya uwekaji wa jiwe la msingi kituo cha afya, Wodi ya Wazazi na Nyumba ya Daktari, huko Kendwa Wilaya ya Mkoani ikiwa ni shamrashamra za Maashimisho ya Miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)







 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.