Na Mwandishi Wetu
Wateja 100 wa kwanza wa kampen
i ya NMB MastaBata-Kivyako Vya o walipatikana jana nakuzawad iwa pesa taslimu TZS 100,000 kila mmoja nataasisi h iyo kiongozi wa shughuli za ki fedha nchini.
Washindi hao wamezawadiwa jumla ya TZS milioni 10. Promosheni ya MastaBata-
Kivyako Vyako ilizinduliwarasm i katikati ya mwezi Disemba mw aka jana kwa lengola kuchagiza matumizi ya kadi za malipo za Mastercardkama sehemu ya mcha ngo wa NMB katika juhudi zatai fa za kujenga uchumi usiotegem ea sana fedhataslimu.
NMB pia inatumia kampeni hii ya ku
endeleza uchumi wakidijitali k urudisha fadhila kwa wateja wake waaminifuambao wamekuwa n i muhili muhimu wa safari yake yamabadiliko ya kidijitali.
Akizungumza wakati wa droo ya
kuwapata washindi wakwanza wa MastaBata-Kivyako Vyako, Menej aMwandamizi wa Wateja Binafsi wa NMB, Bw. Ali Ngingite, alisema zaidi ya TZS milioni 200 zitanyakuliwa kwenye kampeni hii ya miezi mi tatu.
“Hili ni toleo la tatu la kamp
eni za MastaBata zilizoanzaras mi mwaka 2018 kuwahamasisha wa teja na wasiowateja wa Benki y a NMB kutumia kadi za Masterca rdwanapofanya malipo na miamal a kupitia intaneti,” mtaalumu huyo wa mikopo binafsi alisema .
“Kama watangulizi wake, promos
heni ya MastaBata-Kivyako Vyak o pia ina lengo la kuwatambua nakuwazawadia wateja wetu waam inifu kwa kuendeleakutumia hud uma zetu,” Bw Ngingite alionge za nakutabainisha kuwa zitakuw epo pia droo za kila mwezi nai le kubwa ya mwisho.
Wakati washindi 100 wa kila
wiki watashinda TZS 100,000 kila mmoja, 25 watanyakua TZS 1,000,000 kilamwezi na 30 wa m wisho watashinda jumla ya TZS milioni 90 zikiwa ni TZS milio ni kwa kila mshindi.
Bw Ngingite alisema takribani
No comments:
Post a Comment