Habari za Punde

Kamba wanauzwa Tumbe, pesa yako tu


 BIASHARA ya  Kitoeleo aina ya  Kamba imekua ni moja ya biashara muhimu kwa vijana katika kipindi, pichani mmoja ya wanunuzi wa kamba akiwapanga katika mfuko wake baada ya kununua kutoka kwa mvuvi, wakati kilo moja huuzwa kati ya 8000/= hadi 10000 na hutegemea na aina ya kamba wenyewe huko katika bandari ya Tumbe.(PICHA NA ABDI SULEIMAN,PEMBA) 


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.