Habari za Punde

MAJALIWA AZUNGUMZA NA WADU WA UHIFADHI WILAYANI NGORONGORO

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akislimiana na viongozi wakati alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Waso, Loliondo wilayani Ngorongoro
Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na wadau wa Uhifadhi, katika kikao kilichofanyika viwanja vya Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Ngorongoro,  Waso, Loliondo wilayani Ngorongoro Mkoani Arusha
Baadhi ya wakazi wa Waso,  Loliondo wilayani Ngorongoro na wadau wa uhifadhi wakimsikiliza Waziri Mkuu Kassim Majaliwa wakati   alipozungumza nao,
Baadhi ya wakazi wa Waso,  Loliondo wilayani Ngorongoro na wadau wa uhifadhi wakimsikiliza Waziri Mkuu Kassim Majaliwa wakati   alipozungumza nao, Februari 14, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.