Habari za Punde

Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan aelekea Nchini Ufaransa kwa ziara ya Kikazi

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiagana na Wazee wa Zanzibar waliofika katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Karume  kabla ya kuondoka na kuelekea nchini Ufaransa leo  09 Februari, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Makamu wa Rais Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango pamoja na Rais wa Zanzibar Mhe. Husein Ali Mwinyi katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Karume Zanzibar kabla ya kuondoka kuelekea Nchini Ufaransa leo tarehe 09 Februari, 2022.
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.