MRATIB wa Tume ya Ukimwi
Pemba Ali Mbarouk Omar, akizungumza wakati wa mafunzo ya waandishi wa habari
juu ya kuzuwia maambukizo ya VVU kutoka kwa Mama kwenda kwa Mtoto, mafunzo
yalioandaliwa na Shirika la Amref Health Africa Tanzania kupitia mradi wa Afya
Kamilifu.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
MKURUGENZI Mtendaji wa
Tume ya Ukimwi Zanzibar (ZAC) Dk. Ahmed Mohamed Khatib, akifungua mafunzo ya
siku moja kwa waandishi wa habari Pemba, juu ya kuzuwia maambukizo ya VVU
kutoka kwa mama kwenda kwa Mtoto, mafunzo yalioandaliwa na Shirika la Amref
Health Africa Tanzania kupitia mradi wa Afya Kamilifu.(PICHA NA ABDI
SULEIMAN, PEMBA)

AFISA kutoka Tume ya
Ukimwi Zanzibar Sihaba Haji Saadat, akitoa ufafanuzi wa jambo katika Mafunzo ya
siku moja kwa waandishi wa habari Pemba, juu ya kuzuwia Maambukizo ya VVU
kutoka kwa mama kwenda kwa Matoto, mafunzo yalioandaliwa na Shirika la Amref
Health Africa Tanzania kupitia mradi wa Afya Kamilifu.(PICHA NA ABDI
SULEIMAN, PEMBA)
WAANDISHI wa Habari za
Mitandaoni kushoto ni Mgeni Kombo kutoka Mtandao wa Habari Potral na Kulia ni
Zuhura Juma kutoka Pemba today, wakijadiliana jambo wakati wa kazi za Vikundi,
wakati wa Mafunzo juu ya kuzuwia Maambukizo ya VVU kutoka kwa mama kwenda kwa
Matoto, mafunzo yalioandaliwa na Shirika la Amref Health Africa Tanzania
kupitia mradi wa Afya Kamilifu.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
MWAANDISHI wa Habari
kutoka Radio jamii Micheweni Time Khamis Miwnyi, akitoa maelekezo juu ya
Vipindi vya Redio alivyovifanya kutokana na mafunzo yaliyopita, wakati wa
mafunzo juu ya kuzuwia Maambukizo ya VVU kutoka kwa mama kwenda kwa Matoto, mafunzo
yalioandaliwa na Shirika la Amref Health Africa Tanzania kupitia mradi wa Afya
Kamilifu.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
WAANDISHI wa Habari kutoka
Vyombo mbali mbali vya Habari Pemba, wakifuatilia mafunzo ya siku moja juu ya
kuzuwia maambukizo ya VVU kutoka kwa Mama Kwenda kwa Mtoto, mafunzo
yalioandaliwa na Shirika la Amref Health Africa Tanzania kupitia mradi wa Afya
Kamilifu.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
MWAANDISHI wa Habari na
Mpiga picha kutoka ZENJ TV Pemba Ishak Mohamed Rubea, akichangia swali katika
kundi la waandishi wa TV wakati mafunzo juu ya kuzuwia Maambukizo ya VVU kutoka
kwa Mama kwenda kwa Mtoto, mafunzo yalioandaliwa na Shirika la Amref Health Africa
Tanzania kupitia mradi wa Afya Kamilifu.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
No comments:
Post a Comment