Habari za Punde

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan Aondoka Nchini Kuelekea Nchini Ufaransa kwa Ziara ya Kikazi Katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar.

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan akisalimiana na kuagana na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Philip Mpango Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar, wakati akindoka kuelekea Nchini Ufaransa na Ubelgiji kwa ziara ya Kikazi leo 9-2-2022.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ameungana na viongozi mbali mbali wa Kitaifa katika kumuaga Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan anaeelekea nchini Ufaransa na baadae Ubelgiji kwa ziara maalum ya kikazi katika nchi hizo.

Miongoni mwa viongozi aliuoungana nao Rais Dk. Mwinyi katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa wa Abeid Amani Karume  ni Makamo wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Philp Mpango.

Imetayarishwa na Kitengo cha Mawasiliano

IkuluZanzibar.

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan akisalimiana na kuagana na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Philip Mpango Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar, wakati akindoka kuelekea Nchini Ufaransa na Ubelgiji kwa ziara ya Kikazi.

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan akisalimiana na kuagana na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Philip Mpango Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar, wakati akindoka kuelekea Nchini Ufaransa na Ubelgiji kwa ziara ya Kikazi leo 9-2-2022.(Picha na Ikulu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.