Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akifungua Rasmi Daraja la Magara na
Barabara Unganishi ya kilometa 5.2 iliopo Babati Vijijini mkoani Manyara leo
tarehe 16 Machi 2022.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akifungua Rasmi Daraja la Magara na
Barabara Unganishi ya kilometa 5.2 iliopo Babati Vijijini mkoani Manyara leo. 
Makamu wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akifungua Rasmi
Daraja la Magara na Barabara Unganishi ya kilometa 5.2 iliopo Babati Vijijini
mkoani Manyara leo.
Makamu wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akitembea
katika Daraja la Magara mara baada ya
kulizindua pamoja na Barabara Unganishi
ya kilometa 5.2 iliopo Babati Vijijini mkoani Manyara.

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akizungumza na
viongozi, pamoja na wananchi mbalimbali wa Magara iliopo Babati Vijijini mkoani
Manyara mara baada ya kufungua Daraja la Magara na Barabara Unganishi ya
kilometa 5.2 iliopo Babati Vijijini mkoani Manyara leo
No comments:
Post a Comment