RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Rais wa Shirikisho la Kimataifa la Kuogolea (FINA) Bw.Husain Al Musallam.(kulia kwa Rais) alipofika Ikulu Jijini Zanzibar na Ujumbe wake kwa mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu leo 15-3-2022, na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar Mhe. Simai Mohammed Said na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Ikulu Zanzibar.Mhe Jamal Kassim Ali.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na mgeni wake Rais wa Shirikisho la Kimataifa la Kuogolea (FINA) Bw.Husain Al Musallam.(kulia kwa Rais) alipofika Ikulu Jijini Zanzibar na Ujumbe wake kwa mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu leo 15-3-2022.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhizwa zawadi maalum ya Jahazi na mgeni wake Rais wa Shirikisho la Kimataifa la Kuogolea (FINA) Bw.Husain Al Musallam, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 15-3-2022.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi zawadi maalum ya Mlango wa Zanzibar mgeni wake Rais wa Shirikisho la Kimataifa la Kuogolea (FINA) Bw.Husain Al Musallam, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 15-3-2022.(Picha na Ikulu)
No comments:
Post a Comment