Habari za Punde

Rais Mhe Samia akutana na Mkurugenzi Mtendaji wa Mfuko wa Nchi zinazozalisha Mafuta kwa wingi Duniani (OPEC Fund)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwa katika mazungumzo na Mkurugenzi Mtendaji wa Mfuko wa Nchi zinazozalisha Mafuta kwa wingi Duniani (OPEC Fund) Dkt. Alkhalifa Abdulhamid Saleh, Ikulu Chamwino jana tarehe 29 Machi, 2022.


 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akigana na Mkurugenzi Mtendaji wa Mfuko wa Nchi zinazozalisha Mafuta kwa wingi Duniani (OPEC Fund) Dkt. Alkhalifa Abdulhamid Saleh, Ikulu Chamwino jana tarehe 29 Machi, 2022.


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.