Mwanafunzi kutoka Skuli ya Sekondari Chimbuni Salha Nassor Ali ameiomba Serikali kuweka adhabu Kali Kwa viongozi wanaokiuka maadili wakati wa mkutano maalum wa Utoaji wa elimu ya maadili Kwa wanafunzi ,uliyoandaliwa na Tume ya maadili ya Viongozi wa Umma Zanzibar.
Afisa kutoka tume ya maadili ya Viongozi wa Umma Zanzibar Sheha Juma Kheri akichukua michango pamoja na ushauri kutoka kwa Wanafunzi wa Skuli ya Chumbuni mara baada ya wanafunzi hao kupatiwa elimu ya maadili kutoka kwa maafisa wa Tume ya maadili ya Umma Zanzibar,hafla iliyofanyika katika Skuli ya Sekondari Chumbuni Wilaya ya Magharibi “A”
Mwanafunzi kutoka Skuli ya Sekondari Chumbuni Rahma Mzee Amour akichangia mada ya maadili wakati wa mkutano maalum wa Utoaji wa elimu juu ya maadili uliyoandaliwa na Tume ya maadili ya Viongozi wa Umma Zanzibar.Mwanafunzi kutoka Skuli ya Sekondari Chumbuni Zuwena Mwinshehe Mohammed akichangia mada ya maadili wakati wa mkutano maalum wa Utoaji wa elimu ya maadili Kwa wanafunzi ulioandaliwa na Tume ya maadili ya Viongozi wa Umma Zanzibar,hafla iliyofanyika Skuli ya Chumbuni Wilaya ya Magharibi "A"
Mwanafunzi kutoka Skuli ya Sekondari Chumbuni Salma Ali Said akichangia mada katika mkutano maalum wa Utoaji wa elimu ya maadili kwa wanafunzi wa Skuli mbalimbali ulioandaliwa na Tume ya maadili ya Viongozi wa Umma Zanzibar,hafla iliyofanyika Skuli ya Chumbuni Zanzibar .
No comments:
Post a Comment