Habari za Punde

Rais Mhe Samia Ashiriki mkutano wa EAC uliofanyika kwa njia ya Mtandao

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akishiriki Mkutano wa 19 wa Wakuu wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) uliofanyika kwa njia ya Mtandao, Ikulu Chamwino Jijini Dodoma leo tarehe 29 Machi, 2022.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.