Habari za Punde

WAZIRI WA NCHI BALOZI. DKT. PINDI AONGOZA KIKAO CHA BAJETI

Waziri wa Nchi  Ofisi ya Waziri  Mkuu anayeshughulikia ( Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. Balozi. Dkt. Pindi Chana akiongoza kikao cha kujadili Bajeti ya Tume ya Kudhibiti UKIMWI Tanzania (TACAIDS) na Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana  na Dawa za Kulevya katika (DCEA) kaika Ukumbi wa Ofisi ya Waziri Mkuu Ngome Jijini Dodoma.

Naibu  Katibu  Mkuu  Ofisi ya Waziri  Mkuu ( Sera, Bunge na Uratibu) Bw. Kaspar Mmuya  (wa kwanza kulia) akieleza jambo katika kikao hicho na (katikati) ni  Waziri   wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu  Mhe. Balozi. Dkt. Pindi Chana na anayefuata ni Naibu Waziri wake Mhe. Mhe. Ummy Nderiananga kikao kilichofanyika  Ukumbi wa Ofisi ya Waziri Mkuu Ngome  Jijini Dodoma.
Baadhi ya washiriki  waliohudhuria kikao cha kujadili Bajeti ya Tume ya Kudhibiti UKIMWI Tanzania (TACAIDS) na Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana  na Dawa za Kulevya   (DCEA)  wakifuatilia kikao hicho katika Ukumbi wa Ofisi ya Waziri Mkuu Ngome  Jijini Dodoma.

(PICHA ZOTE NA OFISI YA WAZIRI MKUU)

(SERA, BUNGE NA URATIBU)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.