Sayyid Azzan Bin Keis Bin Khalid Baragash Bin Sayyid Said bin Sultan .Allah amghufurie kaka yetu alipokosea ampe kauli thabit amjalie katika pepo Firdaus A’aala !
Taarifa za maziko zitatangazwa baadae Allah awape subira wafiwa .
Huyu ni kijukuu kuu cha Sultan Baragash na kitukuu cha Sayyid Said bin Sultan.
No comments:
Post a Comment