Habari za Punde

MAJALIWA AZINDUA MRADI WA USAID AFYA YANGU

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akionesha bango baada ya kuzindua  Mradi wa USAID AFYA YANGU kwenye ukumbi wa Hazina jijini Dodoma, Mei 6, 2022.  Wengine pichani kutoka kushoto ni Mkurugenzi Mkazi wa USAID, Kate Somvongsiri, Waziri wa Afya Ummy Mwalimu,  Balozi wa Marekani nchini Dkt. Donald Wright  na kulia ni  Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Anthony Mtaka
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizindua  Mradi wa USAID AFYA YANGU kwenye ukumbi wa Hazina jijini Dodoma, Mei 6, 2022. Wengine pichani kutoka kushoto ni Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dkt. Dorothy Gwajima, Mkurugenzi Mkazi wa USAID, Kate Somvongsiri, Waziri wa Afya Ummy Mwalimu,  Balozi wa Marekani nchini Dkt. Donald Wright ,  Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Anthony Mtaka na kulia ni Katibu Mkuu Wizara ya  Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dkt. Zainab Chaula
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipozindua Mradi wa USAID AFYA YANGU kwenye ukumbi wa Hazina jijini Dodoma, Mei 6, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.