Habari za Punde

Matukio ya Picha Kutoka Bungeni Jijini Dodoma leo.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wabunge kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Mei 11, 2022. Kutoka kushoto ni Seif Salim Seif wa Mtambile,  Mohammed Mwinyi wa Chambani, Salum Mohammed Shafi wa Chonga na Salum Pondeza  wa Jimbo la  Chumbuni Zanzibar.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wabunge kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Mei 11, 2022. Kutoka kushoto ni Seif Salim Seif wa Jimbo la Mtambile,  Mohammed Mwinyi wa Chambani, Salum Mohammed Shafi wa Jimbo la Chonga,  Salum Pondeza wa Jimbo la Chumbuni, na kulia ni Mbunge wa Viti Maalum,  Asha Abdallah Juma
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Wakili wa Kujitegemea na Mwanasheria Mwandamizi wa Serikali, Elias Nawera kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma;.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na  Mbunge wa Viti Maalum Agness Marwa kwenye  viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Katikati ni Mbunge wa Mikumi, Dennis Londo.
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Naibu Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara, Exaud Kigae kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Kushoto ni Mbunge wa Mafinga Mjini, Cosato Chimi
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Naibu Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara, Exaud Kigae kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Mei  11, 2022. 
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.