Naibu Katibu Mkuu (Muungano) Ofisi ya Makamu wa Rais Bw.
Abdallah Hassan Mitawi na Katibu Mkuu Afisi ya Makamu wa Pili wa Rais Bw.
Thabit Idarous Faina pamoja na watendaji wao wakiwa katika ziara ya kukagua
ukarabati wa tuta la kuzuia majichumvi kwenye Bonde la mpunga la Ukere Wilaya
ya Micheweni Mkoa wa Kusini, Pemba unaotekelezwa kupitia Mradi wa Urejeshaji Ardhi
iliyoharibika na kuongeza Usalama wa Chakula (LDFS).

Sehemu ya tuta la kuzuia majichumvi kutoka baharini
kuingia katika Bonde la mpunga la Ukere Wilaya ya Micheweni Mkoa wa Kusini,
Pemba ambalo ni miongoni mwa matuta yanayokarabatiwa kupitia Mradi wa Urejeshaji Ardhi
iliyoharibika na kuongeza Usalama wa Chakula (LDFS).
(PICHA NA OFISI YA MAKAMU WA RAIS)
Waandishi wa maajabu hata micheni hamjui ipoo mkoa wa kaskazini pemba? Aibu kubwaa hii
ReplyDelete