Habari za Punde

Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan ahutubia katika Maadhimisho ya Sherehe ya Wafanyakazi Duniani Mei Mosi Kitaifa Jijini Dodoma

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Jamhuri kwa ajili ya kushiriki Sherehe za siku ya Wafanyakazi Duniani Mei Mosi ambapo Kitaifa zimefanyika Jijini Dodoma tarehe 01 Mei, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwapungia mkono Wafanyakazi waliokuwa wakipita mbele ya Jukwaa Kuu na ujumbe mbalimbali wa siku ya Wafanyakazi Duniani Mei Mosi ambapo Kitaifa zimefanyika katika uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia Wafanyakazi kutoka Sehemu mbalimbali nchini katika Sherehe za siku ya Wafanyakazi Duniani Mei Mosi ambapo Kitaifa zimefanyika katika uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma
Wafanyakazi kutoka Taasisi mbalimbali za Serikali, Binafsi pamoja na Sekta mbalimbali wakipita mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kutoa ujumbe mbalimbali kuhusiana na Sherehe za siku yafanyakazi Duniani Mei Mosi ambapo Kitaifa zimefanyika Jijini Dodoma





Wafanyakazi kutoka Taasisi mbalimbali za Serikali wakiwa katika Sherehe za siku ya Wafanyakazi Duniani Mei Mosi ambapo Kitaifa zimefanyika kwenye uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Makamu wa Rais Dkt. Philip Isdor Mpango, Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Hussein Kattanga, Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Tulia Ackson, Rais wa TUCTA Tumaini Nyamhokya wakiimba nyimbo ya Mshikamano (Solidarity)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia Wafanyakazi kutoka Sehemu mbalimbali nchini katika Sherehe za siku ya Wafanyakazi Duniani Mei Mosi ambapo Kitaifa zimefanyika katika uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma tarehe 01 Mei, 2022.

 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.