Habari za Punde

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla Awasili Mkoani Kilimanjaro Kushiriki Maziko ya Marehemu Msuya

Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla ameondoka Zanzibar na kuwasili Mkoani Kilimanjaro kushiriki katika mazishi ya aliyewahi kuwa Makamu wa Rais na Waziri Mkuu wa Tanzania marehemu Cleopa David Msuya.

Imetolewa na Kitengo cha Habari (OMPR)                

Tarehe 12.05.2025.



No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.