Habari za Punde

Nimemfumania Mke Wangu na Mdogo Wangu, Nifanyaje?

Na.Mwandishi Wetu.

Naitwa Piusi mkazi wa Mwanza, Mei 2020 nilifunga ndoa na mpenzi wangu ambaye tulidumu kwenye uchumba kwa miaka mitatu, tulipendana sana na kila mtu alifurahia mahusiano yetu maana tulikuwa mfano bora wa kuingwa.

Katika maisha yangu sikuwahi kudhani kuna siku mke wangu atanisaliti, na sio kunisaliti tu, bali kunisaliti na ndugu yangu wa damu ambaye ni mdogo wangu wa mwisho. Hili jambo linaniuma sana.

Kabla sijaoa nilikuwa naishi na mdogo wangu ambaye alikuja kukaa kwangu kwa sababu ya masomo yake, mke wangu ambaye ni shemeji yake alikuwa anakuja nyumbaji wikiendi na kumkuta, tulijumuika pamoja na kupiga stori mbalimbali za maisha.

Baada ya kuoa mimi nilikuwa naenda kazini asubuhi na kurudi usiku saa tatu, mdogo wangu alikuwa anawahi kurudi, huku mke wangu akiwa anabaki nyumbani maana alikuwa bado hajaanza kazi. Tuliishi kwa upendo kama ndugu na sikuwahi kudhani kuna siku utatokea ugomvi kati yake maana wote niliwapenda sana tu.

Sitosahau siku moja nikiwa kazini nikapokea SMS kwenye simu yangu na namba ngeni ikiniambia wachunguze mkeo na mdogo wako wanakuzunguka. Nilijaribu kupiga ile namba haikupokelewa kabisa, basi siku ile nikawa na mawazo sana ila nilikuja kujua aliyetuma ujumbe ule atakuwa ni miongoni mwa majirani zangu.

Nilijaribu kumuuliza mke wangu kuhusu uaminifu wake kwangu lakini akanihakikishia ananipenda na kamwe hawezi kunisaliti kwani ananiheshimu kama mume wake wa ndoa.

Miezi kadhaa kupita niliamua ku-google namna ya kumbaini mke anayechepuka, baada ya kusoma mitandao mingi nilikutana na tovuti ya Dr. Kiwanga; www.kiwangadoctors.com ambayo ilieleza kuwa naweza kupata huduma hiyo, basi nikachukua namba yao ambayoo ni hii hapa+254 769404965 na kuwapigia.

Dr. Kwanga alinisikiliza kwa umakini mkubwa na kunifanyia dawa ambayo aliniambia itanipa matokeo mazuri, niwe na subra tu, wala nisiwe na wasiwasi kwani wengi amewasaidia katika eneo hilo nyeti.

Niliendelea na kazi zangu za kila siku, baada ya siku mbili niliondoka asubuhi  nyumbani na kuwaacha mke wangu na mdogo wangu ambaye muda sio mrefu alikuwa naye aondoke kwenda shule.

Siku hiyo wakati wa mchana nilipata safari ya ghafla toka ofisi kwenda kwa mteja wetu mkubwa, baada ya mazungumzo na mteja wetu wakati nikirejea ofisi muda wa saa nane hivi, nilimuona mtu kama mke wangu, kutazama vizuri na nikajidhirisha ni yeye, kutazama tena nikamuona mbele ni mdogo wangu wakiongozana kuingia gesti.

Nilichukua simu na kumpigia mke wangu nikamuuliza unafanyaje sasa, akajibu yupo sokoni kwa ajili ya kununua matumizi ya nyumbani, basi kikakata simu. Baada ya dakika tano nikashuka kwenye gari na kwenda kwenye ile gesti, mhudumu alinizuia kwenda chumba walichoingia ila aliniambia anaweza kuwaita.

Alivyoenda kugonga alitoka mdogo wangu  wakaja naye hadi mapokezi, aliponiona alianza kulia na kuniamba msamaha, nilimuuliza ni mara ngapi umefanya hivi, akasema mara moja. Mke wangu naye akaja pale, alilia sana kwa uchungu, nilishindwa niwafanye nini, muhudumu aliniambia wamekuwa wakija kwenye gesti hiyo mara nyingi tu. Je, nifanyaje?.

Mwisho.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.