Habari za Punde

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan apokea Kombe la Dunia litakalo shindaniwa katika Mashindano ya Mpira wa miguu World Cup nchini Qatar, katika hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akinyanyua juu Kombe la Dunia (World Cup) litakalo shindaniwa katika Mashindano ya Mpira wa miguu yatakayo fanyika nchini Qatar katika hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akipokea zawadi yenye mfano wa Kombe dogo la Dunia kutoka Balozi wa Kombe hilo kutoka Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani (FIFA) ambaye pia ni mchezaji wa zamani wa timu ya Taifa ya Brazil Juliano Belletti katika hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akinyanyua juu Kombe la Dunia (World Cup) litakalo shindaniwa katika Mashindano ya Mpira wa miguu yatakayo fanyika nchini Qatar katika hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na viongozi pamoja na wadau mbalimbali wa michezo katika hafla ya kupokea Kombe la Dunia litakalo shindaniwa katika Mashindano ya Mpira wa miguu (World Cup) nchini Qatar, iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam
Wadau mbalimbali wa Michezo pamoja na Viongozi wakiwa kwenye hafla ya mapokezi ya Kombe la Dunia Ikulu Jijini Dar es Salaam
Wadau mbalimbali wa Michezo pamoja na Viongozi wakiwa kwenye hafla ya mapokezi ya Kombe la Dunia Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Wadau mbalimbali wa Michezo pamoja na Viongozi wakiwa kwenye hafla ya mapokezi ya Kombe la Dunia Ikulu Jijini Dar es Salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwa na Balozi wa Kombe la Dunia kutoka (FIFA) mchezaji wa zamani wa timu ya Taifa ya Brazil Juliano Belletti katika picha ya pamoja na wachezaji wa zamani wa timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’
                                                                              Picha na Ikulu.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.