Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi Amejumuika na Wananchi Katika Sala ya Eid El Fitry Masjid Jamiu Zinjibar Mazizini Unguja Jijini Zanzibar.3-5-2022.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi wa Serikali na Dini baada ya kuwasili katika Masjid Jamiu Zinjibar Mazizini Unguja kuhudhuria Sala ya Eid El-Fitry baada ya kumalizika kwa Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, Sala hiyo iliyofanyika katika Masjid hiyo. 
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwasili katika viwanja vya Masjid Jamiu Zinjibar Mazizini Unguja Jijini Zanzibar  kwa ajili ya kujumuika na Wananchi katika Sala Eid El-Fitry na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba,Sheria Utumishi na Utawala Bora Zanzibar Mhe.Haroun Ali Suleiman na (kulia kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe Idrisa Mustafa Kitwana.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar. Alhaj Othman Masoud Othman akisalimiana na Viongozi wa Serikali na Dini baada ya kuwasili katika Masjid Jamiu Zinjibar Mazizini Unguja kuhudhuria Sala ya Eid Fitry baada ya kumalizika kwa Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, Sala hiyo iliyofanyika katika Masjid hiyo 
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar.Mhe.Hemed Suleiman Abdulla akisalimiana na Viongozi wa Serikali na Dini baada ya kuwasili katika Masjid Jamiu Zinjibar Mazizini Unguja kuhudhuria Sala ya Eid Fitry baada ya kumalizika kwa Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, Sala hiyo iliyofanyika katika Masjid hiyo.
Waumini wa Dini ya Kiislam Zanzibar wakiwasili katika viwanja vya Masjid Jamiu Zinjibar Mazizini Jijini Zanzibar kudhudhuria Sala ya Eid El Fitry baada ya kumaliza mfungo wa mwezi Mtukufu wa Ramadhani wakiungana na Waislam Duniani kusherehekea Sikukuu ya Eid El Fitry.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Waumini wa Dini ya Kiislam katika Sala ya Eid Fitry iliyofanyika leo asubuhi katika Masjid Jamiu Zinjibar Mazizini Unguja Jijini Zanzibar, baada ya kumalizika kwa mfungo wa mwezi Mtukufu wa Ramadhani, (kulia kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba,Sheria,Utumishi na Utwala Bora Mhe. Haroun Ali Suleiman, Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe.Othman Masoud Othman, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla, Makamu wa Rais Mstaafu Mhe. Mohammed Gharib Bilal, Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe. Zuberi Ali Maulid na Kaimu Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe.Khamis Ramadhan Shaban.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akifuatilia hutuba ya Sala ya Eid Fitry baada ya kumalizika kwa Sala ikisomwa na Katibu Mtendaji Ofisi ya Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Khalim Ali Mfaume. Na (kulia kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba,Sheria,Utumishi na Utawala Bora Zanzibar Mhe.Haroun Ali Suleiman na (kushoto kwa Rais) Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akifuatilia hutuba ya Sala ya Eid Fitry baada ya kumalizika kwa Sala ikisomwa na Katibu Mtendaji Ofisi ya Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Khalim Ali Mfaume. Na (kulia kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba,Sheria,Utumishi na Utawala Bora Zanzibar Mhe.Haroun Ali Suleiman na (kushoto kwa Rais) Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi. 
Balozi Mdogo wa Oman anayefanyia kazi zake Zanzibar akijumuika na Viongozi na Wananchi wa Zanzibar katika Sala ya Eid El Fitry iliyofanyika katika Masjid Jamiu Zinjibar Mazizini Unguja wakifuatilia hutuba ya Sala ya Eid El Fitry ikisomwa na Katibu Mtendaji wa Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Khalid Ali Mfaume.
WANANCHI wa Zanzibar wakihudhuria katika Sala ya Eid Fitry katika viwanja vya Masjid Jamiu Zinjibar Mazizini Unguja Jijini Zanzibar leo 3-4-2022,iliyofanyika Kitaifa katika msikiti huo, baada ya kumalizika kwa mfungo wa mwezi Mtukufu wa Ramadhani
WANANCHI wa Zanzibar wakihudhuria katika Sala ya Eid Fitry katika wa Masjid Jamiu Zinjibar Mazizini Unguja Jijini Zanzibar leo 3-4-2022,iliyofanyika Kitaifa katika msikiti huo, baada ya kumalizika kwa mfungo wa mwezi Mtukufu wa Ramadhani
WANANCHI wa Zanzibar wakihudhuria katika Sala ya Eid Fitry katika wa Masjid Jamiu Zinjibar Mazizini Unguja Jijini Zanzibar leo 3-4-2022,iliyofanyika Kitaifa katika msikiti huo, baada ya kumalizika kwa mfungo wa mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiitikia dua ikisomwa na Naibu Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Mahmoud Mussa Wadi.(hayupo pichani) baada ya kumalizika kwa hutuba ya Sala ya Eid Fitry, na (kulia kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba,Sheria,Utumishi na Utawala Bora Zanzibar Mhe.Haroun Ali Suleiman, Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe.Othman Masoud Othman na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla na  (kushoto kwa Rais) Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika viwanja vya Masjid Jamiu Zinjibar Mazizini Unguja wakati ikipingwa mizinga baada ya kumalizika kwa Sala ya Eid Fitry iliyofanyika katika Masjid hiyo na (kulia kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba,Sheria, Utumishi na Utawala Bora Mhe.Haroun Ali Suleiman na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Idrisa Mustafa Kitwana na (kushoto kwa Rais) Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Othman Masoud Othman, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar  Mhe. Hemed Suleiman Abdulla.

Mwananchi wa Zanzibar wakiwa katika viwanja vya Masjid Jamiu Zinjibar Mazizini Unguja Jijini Zanzibar, baada ya kumalizika kwa Sala ya Eid El Fitry iliyofanyika katika Masjid hiyo.


Mwananchi wa Zanzibar akimsalimia Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akiondoka katika viwanja vya Masjid Jamiu Zinjibar Mazizini Unguja Jijini Zanzibar, baada ya kumalizika kwa Sala ya Eid El Fitry iliyofanyika katika Masjid hiyo.
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.