RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Vijana wa “Dream
Team Explorers” kutoka Nchini Oman ukingozwa na Ndg. Nassel Al-Salmi,
walipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu
Jijini Zanzibar leo 13-5-2022
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Kiongozi wa Ujumbe wa Vijana kutoka
Nchini Oman wa “Dream Team Explorers” Ndg.Nassel Al Salmi, akimuonesha Bendera
za Nchi ambazo wametemelea kwa kutumia Gari yao hiyo kila Nchi wanayofika na
kubandika bendera katika gari yao kwa ajili ya kumbukumbu, wakiwa katika
viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na Vijana wa
“Dream Team Explorers” kutoka Nchini Oman, baada ya kumaliza mazungimzo yao
yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar, wakiwa Tanzania kwa
matembezi yao kutmbelea Nchini mbalimbali kwa kutumia gari yao hiyo
Picha na Ikulu.
No comments:
Post a Comment