Habari za Punde

WAZIRI MKUU AKAGUA MAANDALIZI YA SHEREHE ZA MEI MOSI

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akisalimiana na Kamati Kuu ya Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi, Mei Mosi Kitaifa 2022, wakati alipowasili kwenye viwanja vya Jamhuri jijini Dodoma leo Aprili 30, 2022, kukagua maandalizi ya uwanja huo utakaotumika kufanyia sherehe hizo kesho Mei 1, 2022
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akizungumza na Kamati Kuu ya Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi, Mei Mosi Kitaifa 2022, wakati alipokagua maandalizi ya Sherehe hizo, zitakazofanyika kwenye viwanja vya Jamhuri jijini Dodoma.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akizungumza na Kamati Kuu ya Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi, Mei Mosi Kitaifa 2022, wakati alipokagua maandalizi ya Sherehe hizo, zitakazofanyika kwenye viwanja vya Jamhuri jijini Dodoma. Aprili 30, 2022.
 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 
No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.