Habari za Punde

Balozi wa Marekani Nchini Tanzania Atembelea Ofisi ya Waziri Mkuu.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na Balozi wa Marekani nchini, Donald J. Wright alipokutana naye, katika ofisi ndogo ya  Waziri Mkuu, Magogoni jijini Dar es Salaam
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Balozi wa Marekani nchini, Donald J. Wright, wakati alipokutana naye, katika ofisi ndogo ya  Waziri Mkuu, Magogoni jijini Dar es Salaam
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na ujumbe wa Ubalozi Marekani ulioongozwa na Balozi wa nchi hiyo nchini, Donald J. Wright ofisi ndogo ya  Waziri Mkuu, Magogoni jijini Dar es Salaam.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na ujumbe wa Ubalozi Marekani ulioongozwa na Balozi wa nchi hiyo nchini, Donald J. Wright ofisi ndogo ya  Waziri Mkuu, Magogoni jijini Dar es Salaam
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiagana na Balozi wa Marekani nchini, Donald J. Wright baada ya kikao kilichofanyika ofisi ndogo ya Waziri Mkuu, Magogoni jijini Dar es Salaam Juni 16, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.