MJUMBE wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa
ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi wa CCM na Mbunge wa Jimbo la
Mpendae Zanzibar Mhe. Tofiq Salim Turky, alipowasili katika viwanja vya Tawi la
Chama Cha Mapinduzi Kilimani kwa ajili ya kushiriki zoezi la upigaji wa Kura
kumchagua Mwenyekiti wa Tawi la Kilimani na Wajumbe wake, uchaguzi huo
uliofanyika leo 5-6-2022
MJUMBE wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM
Taifa ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein
Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi ,wakimsikiliza mmoja wa Wagombea
nafasi ya Mwenyekiti wa Tawi la Chama Cha Mapinduzi Kilimani, akijieleza na
kuomba Kura, wakati wa Uchaguzi wa Tawi la CCM Kilimani uliofanyika leo
5-6-2022
MJUMBE wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM
Taifa ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akipiga Kura kumchagua Mwenyekiti wa CCM Tawi la Kilimani
na Wajumbe wake, uchaguzi huo uliofanyika leo 5-6-2022, katika ukumbi wa Tawi
hilo Kilimani Wilaya ya Mjini Unguja
MJUMBE wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM
Taifa ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, akipiga kura yake kumchagua Mwenyekiti wa Tawi la
Chama Cha Mapinduzi Kilimani na Wajumbe wake, uchaguzi huo uliofanyika leo
5-6-2022, katika ukumbi wa Tawi hilo Kilimani Wilaya ya Mjini Unguja leo
5-6-2022
MWANACHAMA wa Chama Cha Mapinduzi Tawi la CCM Kilimani
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akipiga kura yake kumchagua
Mwenyekiti wa Tawi la CCM Kilimani na Wajumbe wa Tawi, uchaguzi huo uliofanyika
leo 5-6-2022 katika ukumbi wa Tawi hilo Kilimani Wilaya ya Mjini Unguja
MJUMBE wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM
Taifa ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi Tawi
la CCM Kilimani wakati wa zoezi la Uchaguzi kumchagua Mwenyekiti wa Tawi la CCM
Kilimani na Wajumbe wa Tawi, uchaguzi
huo uliofanyika leo 5-6-2022 katika ukumbi wa Tawi hilo Kilimani Wilaya ya
Mjini Unguja

BAADHI ya Viongozi wa CCM na Wajumbe wa Tawi la
CCM Kilimani wakimshangilia na kupiga makofi wakati Mjumbe wa Kamati Kuu ya
Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akihutubia na
kuwasalimia Wajumbe wa Tawi la CCM Kilimani, baada ya kumaliza kupiga Kura yake
kumchagua Mwenyekiti wa Tawi na Wajumbe wa Tawi la Chama Cha Mapinduzi Kilimani
uchaguzi huo uliofanyika leo 5-6-2022 katika ukumbi wa Tawi hilo.
WANACHAMA wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tawi la
CCM Kilimani Wilaya ya Mjini Unguja wakimsikiliza
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ambae pia ni Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo
pichani) akiwasalimia na kuzungumza na Wananchama hao baada ya kumaliza kupiga
kura yake kumchagua Mwenyekiti wa Tawi la CCM Kilimani na Wajumbe wake,
uchaguzi huo uliofanyika leo 5-6-2022, katika ukumbi wa Tawi hilo
WANACHAMA wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tawi la
CCM Kilimani Wilaya ya Mjini Unguja wakimsikiliza
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ambae pia ni Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo
pichani) akiwasalimia na kuzungumza na Wananchama hao baada ya kumaliza kupiga
kura yake kumchagua Mwenyekiti wa Tawi la CCM Kilimani na Wajumbe wake,
uchaguzi huo uliofanyika leo 5-6-2022, katika ukumbi wa Tawi hilo
MJUMBE wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa
ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwasalimia na kuagana Viongozi wa Chama Cha
Mapinduzi baada ya kumaliza kupiga kura yake kumchangua Mwenyekiti wa Tawi la
CCM Kilimani na Wajumbe wake, uchaguzi huo uliofanyika leo 5-6-2022, katika
ukumbi wa CCM Kilimani Wilaya ya Mjini Unguja
No comments:
Post a Comment